ASSOCIATION OF TANZANIA CHOIR TEACHERS

P.O.BOX 1258
SHINYANGA
TANZANIA
+255 768 644 871
+255 674 602 884
info@atctuzinduzi.pesasmart.co.tz

Changia Uzinduzi wa Chama cha Walimu wa Kwaya Tanzania

Tunakukaribisha kuchangia tukio kubwa la uzinduzi wa Chama cha Walimu wa Kwaya (ATCT) utakaofanyika tarehe 16/11/2025 AICT KAMBARAGE SHINYANGA. Mchango wako utasaidia uzinduzi na kuimarisha kazi ya walimu wa muziki na kwaya nchini, na kuendeleza vipaji vya vijana katika huduma ya Kumtumikia Mungu.

Jumla ya Bajeti ni Tsh 3,000,000
40%

1,211,700 / 3,000,000 TZS

💳 Changia Sasa Tazama Michango
Saini ya Kiongozi

Alexander Magenda

(Mwenyekiti ATCT)

Muhuri wa Chama

(Muhuri Rasmi)